TAMASHA NA MAONESHO YA ASASI ZA KIRAIA (AZAKi) 2007

The Foundation for Civil Society inayofuraha ya kuzijulisha AZAKi Tamasha la Tano la AZAKI litafanyika Mjini Arusha katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa, (Arusha International Conference Centre - AICC) Tarehe 22 na 23 Novemba 2007. Zaidi ya washiriki 300 kutoka Tanzania , Kenya na Uganda, Burundi na Rwanda wanatarajiwa kuhudhuria Tamasha na Maonesho hayo.

Kauli Mbiu ya Tamasha ni : Ushiriki wa Wananchi Katika Kuimarisha Jumuiya ya Nchi za Afrika ya Mashariki.

J.Mzinga
Idara ya Sera na Maendeleo
Policy and Development Department The Foundation for Civil Society
Haidery Plaza, 5th floor, Upanga/Kisutu Street
P.O.Box 7192,
Dar es salaam, Tanzania
maendeleo@thefoundation-tz.org
tel: +255 22 2138530-2
fax: +255 22 2138533